Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
#Kuchapiwa Hakuepukiki#
Hata utembee naye mfukoni akitaka kuchapwa nje atachapwa tu...Sembuse huyu wa kuishi mbalimbali?
#Kuchapiwa Hakuepukiki#
Tanzania yetu
Hiyo ni lensi m'binuko.Kamanda Moud. Njoo uone mieleka ya ukweli huku. Achana na hayo maigizo ya WWE [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 989387
Huenda keshaua mtu kaikimbia gari[emoji16][emoji16][emoji16]lazima jicho likutoke kama huyo mzee hapo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Baada kutimuliwa mreno bwa mdogo anakanyaga soka la hali ya juu kabisa.
[emoji7][emoji7]View attachment 989429
This is the most beautiful picture Kati ya nilizoziona [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Sent using Jamii Forums mobile app