Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acheni hizo bana, hebu yakateni hayo makufuli huko PM sisi tuzamie aisee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Naomba ukatibu mkuu wa CHACHAWA aisee. Mambo hapa yeshanishinda na officially nimeshagivapu. Hata ufagizi wa ofisi utanitosha aisee. Mademu nitapambana nao hawa hawa wa mtaani kwetu Mbagala aisee. Mitandaoni humu kwa kweli HAPANA
 
Excellent answer [emoji16][emoji16][emoji16]

Kufua boxer kila siku why? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
448410814_438784~2.jpeg
 
Naomba ukatibu mkuu wa CHACHAWA aisee. Mambo hapa yeshanishinda na officially nimeshagivapu. Hata ufagizi wa ofisi utanitosha aisee. Mademu nitapambana nao hawa hawa wa mtaani kwetu Mbagala aisee. Mitandaoni humu kwa kweli HAPANA

[emoji1][emoji1][emoji1]... Umewave bendera nyeupe? Karibu sana kwenye chama cha WAGUMU, ingawa ni kama nimebaki mwenyewe tu! Wanachama wengine wote wamerudisha kadi za uanachama! [emoji1][emoji1]
 
Arsenal imeweka wazi kutakuwa na usajili mpya kwenye dirisha hili, kitu ambacho utakitarajia kikitokea pia kwenye vikosi kama Chelsea na Manchester United. Hata hivyo, kwenye Top Six ya Ligi Kuu England, kila timu kuna mchezaji mmoja ikisajili, basi mashabiki wake watakuwa na raha kubwa sana kwenye dirisha hili la uhamisho wa wachezaji kwa mwezi Januari.
 
6.Man United - Toby Alderweireld

Manchester United inasaka beki mwingine wa kati mwenye kiwango cha dunia na jambo hilo limeifanya kuhusishwa na mabeki wengi wa kati, akiwamo huyu wa Tottenham Hotspur, Toby Alderweireld
 
Beki huyo wa kati wa Kibelgiji anaonekana wazi atakwenda kufiti vyema kwenye mfumo wa Man United na atamaliza shida zinazoikabili timu hiyo. Kocha wa zamani wa Man United, Jose Mourinho alimhitaji sana beki huyo, lakini kocha mpya pia, Ole Gunnar Solskjaer haonekani kwenda kinyume cha wazo hilo la kuwa na huduma ya beki huyo wa Spurs kwenye kikosi chao. Kama usajili wa Toby utafanyika kwenye dirisha hili la Januari bila shaka litawafanya mashabiki wa Man United kuwa na furaha kwelikweli.
 
5.Arsenal - Raphael Varane

Arsenal imeonekana kuimarika kwa namna fulani kiuchezaji chini ya kocha mpya Unai Emery. Lakini shida moja kubwa inayowakabili kwenye kikosi chao msimu huu ni safu ya mabeki, majeruhi yamekuja kutibua na kuifanya Arsenal kuwa timu dhaifu kwenye Top Six, wenyewe wakifungwa mabao mengi kuliko timu yoyote.
 
Maisha ya Real Madrid kwa sasa yamekuwa na mawazo mengi, hivyo kama Arsenal itakuwa siriazi kwenye mpango wa kumnasa beki Varane, basi inaweza kufanikisha hilo huku saini yake bila ya shaka itaungwa mkono na mashabiki wote wa timu hiyo yenye maskani yake Emirates.
 
Back
Top Bottom