Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naomba ukatibu mkuu wa CHACHAWA aisee. Mambo hapa yeshanishinda na officially nimeshagivapu. Hata ufagizi wa ofisi utanitosha aisee. Mademu nitapambana nao hawa hawa wa mtaani kwetu Mbagala aisee. Mitandaoni humu kwa kweli HAPANAAcheni hizo bana, hebu yakateni hayo makufuli huko PM sisi tuzamie aisee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Naomba ukatibu mkuu wa CHACHAWA aisee. Mambo hapa yeshanishinda na officially nimeshagivapu. Hata ufagizi wa ofisi utanitosha aisee. Mademu nitapambana nao hawa hawa wa mtaani kwetu Mbagala aisee. Mitandaoni humu kwa kweli HAPANA
Mimi narudi chamani pamanentili !!![emoji1][emoji1][emoji1]... Umewave bendera nyeupe? Karibu sana kwenye chama cha WAGUMU, ingawa ni kama nimebaki mwenyewe tu! Wanachama wengine wote wamerudisha kadi za uanachama! [emoji1][emoji1]
kweli..
[emoji23][emoji23]Aah, Numbisa! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni hizo bana, hebu yakateni hayo makufuli huko PM sisi tuzamie aisee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]