Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saadani
FB_IMG_1546923352393.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp ana Sadio Mane na Mo Salah ambao muda wote wanapambana uwanjani. Wachezaji hao ni ngumu sana kuwazuia. Nimefurahi Man City kushinda kwa sababu wamefanya vita ya kusaka uingwa kuwa tamu, lakini nionavyo, kuna mengi yatatokea. Kwa sababu hata Tottenham nao huwezi kuwabeza.
Hakika, Spurs nao wamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom