Hakika, Spurs nao wamoKlopp ana Sadio Mane na Mo Salah ambao muda wote wanapambana uwanjani. Wachezaji hao ni ngumu sana kuwazuia. Nimefurahi Man City kushinda kwa sababu wamefanya vita ya kusaka uingwa kuwa tamu, lakini nionavyo, kuna mengi yatatokea. Kwa sababu hata Tottenham nao huwezi kuwabeza.
Duh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huku ni kula likes tu mkuu. Huwa hatuulizani maswali [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 989724