Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kundi hili lina uwezo wa kufanya mabadiliko na kuiletea sifa United, naamini wakipambana uwanjani mambo yatakuwa mazuri,” alisema Ferguson. Ferguson mwenye miaka 77, alisema yuko tayari kuzungumza na wachezaji masuala ya kiufundi kila watakapokuwa wakimuhitaji. Nguli huyo alianza kuinoa Man United mwaka 1986 hadi 2013.