Inapatikana kwenye Wilaya mbili za mikoa ya Tanga na Pwani. Bagamoyo na PanganiSaadani iko Bagamoyo au Tanga?
Amestahili tuzoMshambuliaji wa Liverpool na Misri, Mohamed Salah ametangazwa mchezaji bora wa Afrika 2018.
Salah ametwaa tuzo hiyo katika hafla iliyohudhuriwa na watu mashuhuri akiwemo Rais wa Liberia George Weah.
Mshambuliaji huyo amepata mafanikio hayo baada ya kufunga mabao 32 ya Ligi Kuu England na 44 katika mashindano yote msimu 2017/2018.
Tanzania yetu