Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Now that you are all sober, probably broke [emoji30][emoji30][emoji30], likely in debt & the only thing that you are able to PAY is attention......
I can now safely say
HAPPY NEW YEAR!!!!!
[emoji5][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji39][emoji39][emoji39]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]
 
Fikra ni neno linalotokana na neno fikiri, likiwa na maana ya kuwaza.
Wewe unawakilisha kile unachowaza. Unachowaza ndio kile mwili wako unachoonesha kwa nje. Kwa mfano; wewe ni meneja katika kampuni Fulani, moja kwa moja utajikuta unavaa kimeneja na hata mambo mengine utaona aibu kuyafanya hasa yale uliyoyazoea
 
Nadhani utakuwa umeshaona mtu mnapokuwa mpo katika hatua moja ya maisha labda wote ni vijana wa kijiweni, lakini ikitokea mmoja akapata elimu ya juu zaidi labda chuo kikuu, siku hawa vijana wakikutana utagundua kuwa kuna ombwe (gap) kati ya Yule aliyesoma na wale ambao hawajasoma, hapa tunaona fikra tofauti za hawa vijana.
 
Moja; ni ya Yule ambaye ni msomi anachowaza anaona wale vijana si wa level yake na wale ambao hawajasoma wanachowaza ni kwamba wao ni dhaifu na hata wakiwa pamoja watakosa uhuru katika maongezi kwa kuamini kuwa msomi siku zote anaongea point, hivyo;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…