ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Hoja mojawapo kuu ya watetezi wa ushoga na usagaji...kuwa dhambi ni dhambi tu na mshahara wake ni ule ule (mauti)...Kuna watu wapo vizuri sana katika kuchagua dhambi,watakemea kamali au vilevi ila wakaibariki zinaa!!
Hakika bro,,na hili ni la kumuomba sana Mungu atuepushi juu ya hili[emoji120][emoji120]Hoja mojawapo kuu ya watetezi wa ushoga na usagaji...kuwa dhambi ni dhambi tu na mshahara wake ni ule ule (mauti)...
Uwongo, umbea na zinaa nadhani ndiyo zitasomba mamilioni kwa mamilioni kwenda motoni...Tunahitaji rehema ya Mungu tu na si vinginevyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]