Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mi niko sawa bro. Niko library hapa kuna jimama linaazima vitabu lina msambwanda wa kufa mtu bro. Hali ni tete aisee..najifanya kama nasoma soma lakini hata sijui nasoma nini. Halafu limevaa haya magauni ya kubana...oooh jizazi teki ze whiiiliii pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]Hakika bro,,na hili ni la kumuomba sana Mungu atuepushi juu ya hili[emoji120][emoji120]
Kwema brother?
Hope upo sawa,na unaendelea kupambana,kila la kheri brother!