Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Soya ni zao la jamii ya mikunde lenye aina nyingi za matumizi; ni zao linalofaa kwa chakula cha binadamu na wanyama na pia ni zao la biashara. Zao hilo lina kiasi kingi cha protini yenye ubora wa hali ya juu kuliko kiasi kilichopo katika aina nyingine ya mazao ya mimea.
 
Kiasi cha protini katika soya inazidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai na maziwa. Hii inamaanisha kuwa soya ni chanzo rahisi na cha bei nafuu cha protini hasa kwa watu wenye kipato kidogo ambao hawawezi kumudu gharama za vyanzo vingine vya protini kama nyama, maziwa na samaki. Aidha, soya ina mafuta bora yasiyo kuwa na lehemu (cholesterol). Uwingi na ubora wa protini katika soya unaweza kuondoa utapiamlo hususani kwa watoto na kuwaongezea nguvu wagonjwa ikiwa ni pamoja na wale wanaoishi na Virusi Vya UKIMWI (VVU) na wagonjwa wa UKIMWI na magonjwa mengine.
 
Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kuwa kutumia soya kunapunguza athari za kansa ya matiti kwa wanawake, magonjwa ya moyo na kisukari. Unga wa soya iliyokaangwa hutumika kama chai au kahawa isiyo na kilevi (caffein). Mashudu ya soya ni mazuri kwa chakula cha mifugo hususan kuku na nguruwe. Matumizi mengine ya zao hilo ni katika kutengeneza madawa na vipodozi. Sifa hizo zinafanya soya kuwa mojawapo ya zao lenye thamani kubwa katika kuboresha afya ya binadamu na mifugo na pia kuongeza kipato. Watu wa rika mbalimbali wanashauriwa kutumia soya ili kuboresha afya na kuongeza kipato.
 
MWANZILISHI WA AMAZON NA MKEWE WAAMUA KUPEANA TALAKA > Jeff Bezos(54) na mkewe, MacKenzie (48) wanaoongoza kwa utajiri Duniani, wameamua kufanya hivyo baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 25 > Bezos na MacKenzie wamebahatika kupata watoto 4.
 
Inasemekana kuwa chanzo cha watanzania kutokuwa na moyo wa kujitolea ni ukoloni uliomuathiri mtanzania kisaikolojia. Ikumbukwe kuwa watanzania walikuwa wakilazimishwa kufanya kazi katika mashamba na maeneo mengine ya kazi zao suala ambalo liliwaumiza sana watanzania kwa kitendo hicho na ndio chanzo cha kupeana POLE kwa kazi. Moyo wa kupenda kazi bila malipo ulikufa na ndio maana ukimkuta mtu anafanya kazi unamwambia POLE KWA KAZI…

Ester
 
0e1b183e-3d0b-495e-9155-f31062911fa3.jpeg


“I'm the best ever. I'm the most brutal and vicious, and most ruthless champion there's ever been. There's no one can stop me.” -Mike Tyson[emoji1548][emoji1548]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Uwongo Mike. You got cocky and overconfident...and you were stopped. Does the name Buster Douglas ring a bell Mike? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Happy morning
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji348][emoji348][emoji348][emoji348][emoji348]

DO YOUR GOOD ACTS HERE AND NOW


Once a poor man approached King Yudhishtira, the eldest of the Pandavas. He was also called Dharmaraja because he always followed the path of virtue. The poor man asked the king for some help. Yudhishtira said, "Come tomorrow, I will give you what you want."

Bhima, Yudhishtira's brother, overheard this promise. He at once called all the royal retinue for a sudden meeting. He announced that the next day would be celebrated as a day of victory. This sudden announcement created a great commotion. Everyone wanted to know what the victory was about and who had won it. The news reached Dharmaraja. Bhima was asked to give an explanation.

Bhima said, "We have gained a victory over death for twenty-four hours. Dharmaraja had asked a certain poor man to come tomorrow for receiving help. It means that Dharmaraja is quite certain that he will be alive for the next twenty-four hours. Is this not a victory?"

Yudhishtira realised how inadvertently he was taught a lesson. He sent for the poor man and gave him what he wanted. Act and live in the present. Never postpone to tomorrow whatever good you can do today.
[emoji257]God Bless you[emoji257]
 
KAZI NI NINI?
Nijuavyo mimi, kazi ni shughuli yoyote iliyo halali au isiyo halali yenye manufaa kwako au kwa jamii.
ANGALIZO: Ukifanya kazi isiyo halali katika nchi yenye sheria iliyo kinyume na kazi hiyo… unaweza kuchukuliwa hatua. Mfano, kwa Tanzania ukifanya kazi ya kuuza bangi itakuwa haramu na ukikamatwa utajibu katika vyombo vya sheria na yawezekana ukafia jela.
sawa sawa....
 
NI hivi Arsene Wenger anaweza kubamba dili jipya la kazi baada ya Qatar kumweka kwenye orodha ya kumtaka awe kocha wao mkuu kwenye fainali za Kombe la Dunia 2022.

Kocha huyo Mfaransa kwa sasa yupo tu akisubiri kazi mpya baada ya kupigwa chini na Arsenal mwishoni mwa msimu uliopita baada ya kudumu na timu hiyo kwa miaka 22.
 
Back
Top Bottom