Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 657
- 582
Mi nampenda yeye
Jionee mwenyewe tuAsante sana mkuu. Usije tu ukanigeuka huko mbele ya safari. Wewe umefikia wapi?
Kuhusu kukugeuka hapana I won't do that...Asante sana mkuu. Usije tu ukanigeuka huko mbele ya safari. Wewe umefikia wapi?
Thanks bro..Kuhusu kukugeuka hapana I won't do that...
Kwani Mzee wa Ini bado yupo? Bado anapambana?Jionee mwenyewe tu
Sawa ila Toa likes Pata likesMi nampenda yeye
Nani huyo? Penda upendwapo!Mi nampenda yeye
Naniii?Mi nampenda yeye
Umepika nini?Karibuni dinner
Alitokea kwa ku beep majukumu si unajua ila everything is just perfectKwani Mzee wa Ini bado yupo? Bado anapambana?
That's good. Na wewe pokea likes mkuu!it's was a blessed day...pokea na like kabisa
Sema mkuu. How was your day? Umepiga hatua yo yote katika ile issue?Likes
Sema dikteta Buzitata...kula like ukiendelea kucheka
Malinzi....Tanzania Football Federation