Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Shimba nakuachia jahazi mpaka kesho,Mungu akijalia.
Mkuu, una collection ya haya majina? Wengine nilikuwa nimeanza kuwasahau. Duniani hapa unavuma weee na halafu unafifia!Kilontsi Mpologomy
Kiboko cha malofa na wapumbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Benjamin William Mkapa
Lakini pia unaweza kuwa source ya stress. Naamini kuna watu wengi humu hawapati usingizi wa kutosha kwa sababu ya uzi huu. Hapa ndipo mahali pa kujipima kama mtu uko susceptible kwa addiction. Somebody can do a Ph.D dissertation kwa kuangalia tabia za watu katika uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi unaweza kua tiba ya stress walah
Mawazo ya nini tenaMawazo tu