Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

853240118_192859.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mkuu mkuu mbona vicheko mixer mbio?....

Habari yako lakini?
 
Nimefurahi tu kukuona tena bro. Karibu tena. Natumaini mwaka mpya unaendelea vyema.

Naona ulikuwa Mwanza. Ushamba wa Wasukuma bila shaka umeushuhudia laivu huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Nafurahi pia kukuona bro pia nashukuru Mungu mwaka mpya unaenda vyema kabisa....

Ushamba Mwanza kweli nimeuona upo mwingi mno naivi nilienda msimu wa sikukuu yani yale nayaonaga kwenye picha za humu basi niliyaona mubashara. Ila mji na hali ya hewa vipo vizuri sana
 
Aaaaaarghhh....

Hufai bro [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom