andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Namshukuru Mungu kanipa ujasiri wa kuutawala mwezi Njanwary. Hauniendeshi wala haunipelekeshi, yaani ni mwendo wa ku-shade tu tarehe kwenye kalenda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko hauishii maneno aisee,et ugali wa muhogo,,wasukuma wanauita ugali wa udaga bro Shimba Ya Buyenza kama nmekosea nsahihishe
Kwema ndugu yangu?
Haya vipi wewe na mbio za kwenye makorido?