Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kwako pia broKwema bro,,
Kheri ya mwaka mpya
Kwako pia broKwema bro,,
Kheri ya mwaka mpya
Huko sikufika jamaa ila nilienda hadi Geita wakati napita maeneo ya soko kuna mama nilimsikia akisema kona ya bwiru nikakukumbukaUlitembelea makoroboi bro
Hahah.... Niipiga picha nikiwa Malaika tu bro halo kwenye samaki sikufanya hivyoWeka picha uliyopiga pale kwenye samaki linalotoa maji bro,tuone kama kweli ulikuwa mwanza [emoji23][emoji23]
😀😀😀😀😀😀Makoroboi afike wapi?
Bro yaani hujui kilichokuwa kimempeleka huko? Muda wa kwenda Makoroboi au kwenye lile lisamaki litemalo maji 24/7 aupate wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]