Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wee Anko ni shwaini basi tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankooooooo
Watu wabaya sana
Fresh sana jamaa, vp za siku mingi[emoji106][emoji106][emoji106]
Niaje mzee baba
24 DEC - 02 JanUlikuwepo lini
Mkuu mkuu mbona vicheko mixer mbio?....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nimefurahi tu kukuona tena bro. Karibu tena. Natumaini mwaka mpya unaendelea vyema.Mkuu mkuu mbona vicheko mixer mbio?....
Habari yako lakini?
Nafurahi pia kukuona bro pia nashukuru Mungu mwaka mpya unaenda vyema kabisa....Nimefurahi tu kukuona tena bro. Karibu tena. Natumaini mwaka mpya unaendelea vyema.
Naona ulikuwa Mwanza. Ushamba wa Wasukuma bila shaka umeushuhudia laivu huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaaaaarghhh....Nafurahi pia kukuona bro pia nashukuru Mungu mwaka mpya unaenda vyema kabisa....
Ushamba Mwanza kweli nimeuona upo mwingi mno naivi nilienda msimu wa sikukuu yani yale nayaonaga kwenye picha za humu basi niliyaona mubashara. Ila mji na hali ya hewa vipo vizuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankooooooo
Watu wabaya sana