Msukuma habari yako natamani kujua hii seminar inaanza saa ngapi ebu niangalizie uko ulipoitoa jamani ubarikiwe sana.
Mwaka mpya umekukutaje Shunie mrembo wewe? Nitakuangalizia huo muda. Naona tangazo lao halijakamilika. Utakuwepo kwenye hii semina?Msukuma habari yako natamani kujua hii seminar inaanza saa ngapi ebu niangalizie uko ulipoitoa jamani ubarikiwe sana.
Namshukuru Mungu kwakweli msukuma sijui upande wakoMwaka mpya umekukutaje Shunie mrembo wewe? Nitakuangalizia huo muda. Naona tangazo lao halijakamilika. Utakuwepo kwenye hii semina?
Nimewauliza kuhusu muda hawajanijibu. Wakinijibu tu nitakujulisha. Mungu Aendelee kukubariki Shunie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Namshukuru Mungu kwakweli msukuma sijui upande wako
Nataka nijue mda wao ili nikitoka kanisani asubuhi naweza kuwepo
[emoji120][emoji120][emoji120] Tubarikiwe sote msukuma nitafurahi ukinijulisha natamani ianze saa sita mchana.Nimewauliza kuhusu muda hawajanijibu. Wakinijibu tu nitakujulisha. Mungu Aendelee kukubariki Shunie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]