Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu uzi unaweza kua tiba ya stress walah
Lakini pia unaweza kuwa source ya stress. Naamini kuna watu wengi humu hawapati usingizi wa kutosha kwa sababu ya uzi huu. Hapa ndipo mahali pa kujipima kama mtu uko susceptible kwa addiction. Somebody can do a Ph.D dissertation kwa kuangalia tabia za watu katika uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…