Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Malikia Elizabeth II hana haja ya kuwa na pasipoti kwasababu ni yeye anatoa idhini kwa watu wake wote kuwa na kuwa na stakabadhi hiyo muhimu ya usafiri duniani
Hata hivyo ana pasipoti ya stakabadhi zake zingine za siri.
Watumishi wa Malkia ndio wanaosimamia stakabadhi hizoza siri na kila moja ina pasipoti yake.
Inadaia kuwa kuna pasipoti 15 pekee za aina hiyo ambazo zinatumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…