Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818]3. Paspoti zilianza kutumika baada ya vita vikuu vya kwanza vya dunia
[emoji818][emoji818][emoji818]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee...Tonga ilikua ikiuza pasipoti yake kwa dola 20,000 kila moja.
Marehemu Mfalme Taufa'ahau Tupou wa IV wa jimbo huru la Polynesia aliripotiwa kuuza pasipoti ya Tonga ili kukusanya mapato ya nchi.
Nguo imekubali..
[emoji23][emoji23][emoji23]Simba Simba....
Hahahaaa...Hakuna watu wanao tunza SIRI Duniani kama watu wanao pigwa🤔🤔 Na Wakezao. Sjuwi Huwa Wana vifaa Gan Wanavyo Tunzia SIRi Hawa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]