Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha mkuu ulijfanya kama fisi kwa muda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha yaani we acha kabisa Mkuu. Kuna elevator hapo mahali wala sijawahi kuipanda hata siku moja nageuka hivi namuona huyo mrembo akiingia kwenye ile elevator baada ya kuona niliyoyaona ikabidi nami niingizane kwenye elevator😎😎😎😎 wawili tu humo ndiyo nikagundua ama kaamka nazo au kabwia.

Hahahahahaha mkuu ulijfanya kama fisi kwa muda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha [emoji16][emoji16][emoji16], sijui nikupongeze au nikupe pole? Nadhani yote yanakufaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…