myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi ya chai
Safii
Haya ni kuomba Mungu tu kwa sababu likikata waya hapo hakuna cha msalia mtume. Nasubiria siku wakifanikiwa kuunda yasiyotingishika. Siyo haya linatetemeka huku na huko halafu ukiangalia kwenye ramani mko katikati ya Atlantic halafu usiku wa manane. Hovyo sana. Afadhali mitumbwi ya Nansio mara milioni aisee...
[emoji818][emoji818]
[emoji818][emoji818]
[emoji818]Monday is a sloppy umbrella day, which makes everybody a little blue.“
Giorge Leedy
Azam mil 15 na medali
Simba mil 10 na medalist
Yanga...mchuzi wa pweza na umbea
Haliwezi....
Huyu golkipa enzi za Mourinho alikua na mkono mmoja tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]