myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kila siku namsalimia aisee.....Imagine huyu ndo jirani yako ile mitaa yako jirani [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni huku Kigamboni huku jirani [emoji16][emoji16][emoji16]wapi hiyoooo
Sawasawa...Arsenal alicheza Arsenal hadi mwaka 2007, akifunga mabao 226 katika mechi 369. Alienda zake Barcelona kisha Marekani kabla ya kurudi tena Arsenal mwaka 2012 na kucheza mechi nne. Kwa ujumla wake, ameichezea Arsenal mara 373 na kufunga mabao 228.
Mi nasemaga. Muumba Asingetaka tuwatamani Asingewaumba hivi. Kulikuwa na otenativu nyingi tu walahi...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 994039
Hata kama haitikii unang'ang'ania mpaka siku moja aitikie tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]kila siku namsalimia aisee.....
duh!! kunafaa kutembelea hukoNi huku Kigamboni huku jirani [emoji16][emoji16][emoji16]
kweli kabisa..Hata kama haitikii unang'ang'ania mpaka siku moja aitikie tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Usije jaribu kuhama Vingunguti machinjioni, usafiri wa bodaboda na bajaji ni salama zaidi. Nasema uongo?
Kutiana majaribu tu bro...Bro bhana there was alternative kabisa
Unywelee
Karibu sana jiraniduh!! kunafaa kutembelea huko
Huwa nasali sana bro. Kuna kupotea mazima kama wale jamaa wa Malaysia. Au kuwa charred beyond recognition japo ni kifo cha haraka kizuri na kisicho na maumivu. Mkianza tu kuporomoka laivu ile G force na mabadiliko ya presha ya ghafla itawafanya mkate netiweki. Mkija kufika huku chini kujibamiza wala hamna habari...