South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,513
- 5,144
Hakuja kucha bado unaamkajeNimelala nimeamka
Hakuja kucha bado unaamkajeNimelala nimeamka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwani alikuwa tajiri huyo mama?Kafilisika
Dr Juma Ngasongwa
Guntram Mkolokoti Itatiro
Time is on my side! I choose saa ngapi ndiyo kumekucha kwanguHakuja kucha bado unaamkaje
Aya asubuhi njema basiTime is on my side! I choose saa ngapi ndiyo kumekucha kwangu
Alikuwa na pesa ya kutosha! Wajanja wakamshauri agombee ubunge! Ilibidi auze nyumba na ubunge kakosa, ee Maulana tuepushe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwani alikuwa tajiri huyo mama?
★Land alienation
★Forced Labour
★Low wages
★Poor government support
★Poor infrastructure.
Yani hizi point zilikuwa hazikataagi kwenye mtihani hata kama unaelezea sababu za maambukizi ya Malaria!
[emoji13] [emoji13]
Mume wa Hadija Simba.... Abdu Simba mtoto good personIDD Simba
mida ya wanga
mida ya wanga
Hahahaha TemekeA bass Mtemvu
Huyu bw mpologomi kwa sasa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa taasisi moja ya kidini mkoani kigomaMkuu, una collection ya haya majina? Wengine nilikuwa nimeanza kuwasahau. Duniani hapa unavuma weee na halafu unafifia!
mida ya wanga
Ndiyo maana! Chrisant majiyatanga mzindakayaHuyu bw mpologomi kwa sasa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa taasisi moja ya kidini mkoani kigoma