Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1547400923963.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinda alicheza kwa muda mfupi na baada ya mkataba kumalizika alitemwa na akatimkia mchangani kujiunga na Farnborough, Julai Mosi 2015 ambako nako alidumu kwa miezi minne tu. Msimu 2016/17, mchezaji huyo alijiunga na Guildford City na baadaye akapotea kabisa kwa kuishia mchangani. Huyu ndiye Adam Nditi ambaye alikuwa anapigiwa chapuo la kuitumikia timu ya Taifa, Taifa Stars.
 
Nditi aliibua mzozo baina ya wadau wa soka na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), waliokuwa wakiwatuhumu viongozi wa taasisi hiyo kushindwa kumuita kinda huyo katika kikosi cha Taifa Stars.

Salama ya vigogo wa TFF ilikuwa ni kupotea kwa Nditi ambaye alikuwa gumzo baada ya kujiunga na Chelsea.
 
Ndege ndefu zaidi duniani ipo tayari kwa ajili ya kuanza kutengenezwa kibiashara na kupakia abiria.
Hatua hiyo inakuja baada ya sampuli ya awali ya Airlander 10 yenye thamani ya pauni milioni 32 - ambayo ni mjumuiko wa ndege na meli inayopaa - kustaafishwa rasmi baada ya kufaulu majaribio ya mwisho.
Kutokana na mafanikio hayo, kampuni iliyobuni ndege hiyo ya Hybrid Air Vehicles (HAV) yenye maskani yake Bedford, Uingereza imepewa ruhusa na mamlaka ya usafiri wa anga wa kiraia wa nchi hiyo Civil Aviation Authority (CAA) kuanza uzalishaji wa aina hyo ya ndege.
Kampuni hiyo awali mwezi wa Oktoba 2018 ilipewa kibali cha usanifu kutoka kwa mamlaka ya usalama wa usafiri wa kiraia barani Ulaya European Aviation Safety Agency (Easa).
 
Back
Top Bottom