Wavulana wa sasa ni full uboya [emoji16][emoji16][emoji16]Jana nimekwenda sokoni...vijana wapo wanajisemesha eti wanatafuta mwanamke mwenye pesa zake....gari, nyumba, mihela....ila kaz yao eti wamridhishe huyo mwanamke kitandani.....yaaan nilijikuta nacheka....wanaume nao wamekua wadangaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania yetu
aisee......haya bwana