Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Aisee...Arsenal wanamfuatilia kwa makini kiungo wa kati wa Colombia James Rodriguez na huenda wakalipa euro milioni 3 kwa Real Madrid ili kubadilisha miezi sita ya mwisho ya mkataba wake wa kuichezea kwa mkopo Bayern Munich kwa miaka miwili.(Mail)
Huku poa mno...
Umeona bro?
Kazi kweli kweli...
Na kwa watongozaji humu wana shida. Unaweza kutongoza mtu yule yule hata mara sita kumbe mwenyewe anakusanifu tu na mafyekero yake...[emoji16][emoji16][emoji16]
RIP [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 996530
Vyuma vimekaza [emoji16][emoji16][emoji16]Jana nimekwenda sokoni...vijana wapo wanajisemesha eti wanatafuta mwanamke mwenye pesa zake....gari, nyumba, mihela....ila kaz yao eti wamridhishe huyo mwanamke kitandani.....yaaan nilijikuta nacheka....wanaume nao wamekua wadangaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app