Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CDE40B2D-940F-4292-BFA6-8E11E173350A.jpeg
 
Kama sio, mbona wanapenda kufikia huku? Ina maana wanavutiwa na huu uzi tangu wakiwa wasomaji tu?
Haya mambo ya multiple haya, huu uzi ukirudi nyuma sana utashangaa Ids zilizo unganishwa, tulikuwa tunajibizana na mtu mmoja kwa Id tatu....
Kazi kweli kweli...

Na kwa watongozaji humu wana shida. Unaweza kutongoza mtu yule yule hata mara sita kumbe mwenyewe anakusanifu tu na mafyekero yake...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom