Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Utafikiri amekaa tu anachill kumbe ndo imetoka hivyo. Maisha haya we acha tu. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Utafikiri amekaa tu anachill kumbe ndo imetoka hivyo. Maisha haya we acha tu. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Haya mambo ya kuhagiana na mabinti (wakali) hivi kweli kwetu yapo haya? Unahagiwa mpaka vincha mchongoko pale kifuani vinakuchoma kifuani mpaka netiweki inaanza kusoma mwe... [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nielekeze niende huko pulizi. Kafungasha halafu nachuro kabisa hakuna cha kuhamisha mafuta wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo fala Hamani alipata alishostahili yeye na matoto yake na kama anavyosemaga ISIS na vizazi vyake vyote....Na kuna akina Hamani wengi tu tunaishi nao...Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijui huko kwenu, huku kwetu hali ni mbaya sana kuhusu wanaume. Kukuta 70+ ni nadra sana. Wengi wanaondoka hata kabla hawajafikisha 60. Vijiji vingi unakuta viajuza vijane vimejazana waume walishakufa muda mrefu. Hata sijui tatizo ni nini walahi...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nakuletea akaunti yake.
Kwa asilimia kubwa chanzo cha kifo cha wanaume ni wanawake... Halafu tunajionea poa tu
Ndivyo nilivyodhani...Ester huyu ankoo ? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Haka katoto mbona. Katam sana ni kakwako
[emoji106][emoji106][emoji106]Mshambuliaji Mbwana Samatta na klabu yake ya Genk wapangwa na Slavia Prague wakati Arsenal akipewa BATE Borisov na Chelsea ikitupwa kwa Malmo katika hatua ya 32 bora ya Europa Ligi.
Samatta aliiongoza Genk kumaliza wakiwa vinara wa kundi lake hivyo mechi hiyo ya mtoano wataanzia ugenini kati ya Februari 14-21, 2019.
Katika msimu huu Samatta amecheza mechi 23 za mashindano yote na kufunga mabao 15, kati hayo magoli matatu amefunga katika Europa Ligi.
Hatari
Katam sana eeeeh!?Haka katoto mbona. Katam sana ni kakwako
{Karibu tembelea, subscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
Kwa sehemu chache nilizo kaa/pita, wanaume wengi wanaokufa ni wale wenye kipato cha kati, muda mwingi anawaza kuongeza na kuimarisha kilichopo kisitoke. Mke anakuwa sio sehemu ya utafutaji wala umiliki, mwanaume kuwa na mahusiano mengi na wanawake wengine na kupelekea kuzaa nao. Mke akisha jua ndipo misuko suko inaibukia humo...Sijui huko kwenu, huku kwetu hali ni mbaya sana kuhusu wanaume. Kukuta 70+ ni nadra sana. Wengi wanaondoka hata kabla hawajafikisha 60. Vijiji vingi unakuta viajuza vijane vimejazana waume walishakufa muda mrefu. Hata sijui tatizo ni nini walahi...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Kwa mzigo kama wa huo binti hata nife sawa tu kwa kweli. Ai wili neva kompuleini [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahaHaya mambo ya kuhagiana na mabinti (wakali) hivi kweli kwetu yapo haya? Unahagiwa mpaka vincha mchongoko pale kifuani vinakuchoma kifuani mpaka netiweki inaanza kusoma mwe... [emoji2221][emoji2221][emoji2221]