Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuyashinda majaribu kutoka kwa mtu kama huyu.... Hata malaika watashangaa
tapatalk_1547652758040.jpeg
 
Kuyashinda majaribu kutoka kwa mtu kama huyu.... Hata malaika watashangaaView attachment 996338
Nilisema juzi na nitasema tena hapa (na Bro) ni shahidi yangu. Kama Muumba Asingetaka tuwatamani Asingewaumba hivi. Kulikuwa na otenativu nyingi tu...

Kawaumba hivi halafu tena akachimba na mikwara eti tusiwatamani. Siyo fea kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli Muumba aliamua kututesa kisaikolojia... Huyu binti ni wa Tanga hata mekapu hatumii.. Amemwaga mapicha yake Ig kule mweee!!!
Nimetoka kusoma kitabu cha Ester, maamuzi ya mfalme Ahasuero kwa Hamani siwezi kulaumu...
 
Nielekeze niende huko pulizi. Kafungasha halafu nachuro kabisa hakuna cha kuhamisha mafuta wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo fala Hamani alipata alishostahili yeye na matoto yake na kama anavyosemaga ISIS na vizazi vyake vyote....Na kuna akina Hamani wengi tu tunaishi nao...Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli Muumba aliamua kututesa kisaikolojia... Huyu binti ni wa Tanga hata mekapu hatumii.. Amemwaga mapicha yake Ig kule mweee!!!
Nimetoka kusoma kitabu cha Ester, maamuzi ya mfalme Ahasuero kwa Hamani siwezi kulaumu...

Uliposema Ester Nilifikiri Ester wetu wa humu kumbe ni yule malkia mkombozi wa watu wake [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom