Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ubaya hawatuambii bana. Kuna hifadhi nilikuwa sijawahi kuzisikia na nimezisikia mara ya kwanza kutoka kwako. Halafu Wakenya wakisema Mlima Kilimanjaro uko kwao tunawakoromea.
Mkuu kwenye eneo hilo kuna siri nyingi sana.
Kuna utajiri mkubwa sana kwenye eneo hil, lakini ni mara chache kusikia ufisadi wake ukiwekwa hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…