Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Mpaka naogopa kugonga like kwa hili jamaa duh. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna likes huwa zinatoka kwa kigugumizi.Zingine hazitoki kabisa, roho inakataaMpaka naogopa kugonga like kwa hili jamaa duh. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha [emoji16][emoji16][emoji16]mkuu usikubali kutishwa na mwanasesere[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Poa fekero kama nakuhisi vile,coward
Mechi lini?
Kama na wewe binti mpole usiye na makuu unalalamika basi hali ni ngumu. Pole [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante mkuu. Tuwaombee washindekesho
Seriously, I like the old one...
Hapa ni jumba la furaha, uzi huu pamoja na urefu wake haujawahi kusababisha kufungiwa yeyote.Dah mi sijamfata Peramiho jameni.. ameamua tu kucomment kilichotawala kichwa chake kwa sana
Eti " Mafyekero"