Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe kuna Misamiati humu
 
Reality check.. tunahitaji kupunguza pollution
Trump na genge lake hawaamini katika climate change wala pollution. Wanaamini kuwa dunia ina uwezo wa kujiponya yenyewe na haihitaji msaada wetu. Na wao ndiyo polluters wakubwa wakifuatiwa na China na India. Sisi Waafrika, kama ilivyo kawaida yetu, ni waathirika tu katika sakata hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…