capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hahaha uzi wa "Sipendi wanawake tena"Utapigwa halafu uje kuanzisha uzi wa ajabu kule MMU [emoji16][emoji16][emoji16]
Niko poa. Za kupotea? Nawe umekwenda kutembea Mwanza ama?
Yule dogo naona aliamua kurudi huko ageini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] za kupotea ni njema kabsa,, hapana bro,,kule Mwanza ukienda unaweza usirudi aisee
Salama bro?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] za kupotea ni njema kabsa,, hapana bro,,kule Mwanza ukienda unaweza usirudi aisee
Karibu sista.
Salama bro,kwema huko?family haijambo??Salama bro?
Hivi hata Instinct hakuna kuwa hili naongea nalo Dume hiliHapo sasa....Na mara nyingi likely ni midume. Mambo ya mtandaoni haya ni vurugu tupu...Wengine utakuja shangaa ni konki konki masta...