Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tembo wa KATAVI
FB_IMG_1547820100129.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole.

Mtu anajilengesha weee na usipokuwa makini ukawa na uzabina zabina unaweza kujikuta unatongoza mtu yule yule hata mara nne...na ukalizwa mara nyingi tu kama ni mhongaji mzuri. Usione watu wanakimbia kuja kufungua nyuzi za ajabu ajabu kulalamika, wengine wamelizwa na mafyekero[emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi mtu akija PM na ID mpya huwa namuuliza jina lake la zamni. Huwa hawarudi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama ni demu sina tatzo nae kabisaa ingawa inakua poa akija na ID yake ya siku zote!

Issue inakua labda ni Wa kiume anataka kupata some details kukuhusu ana amua kuja kama JIKE, huu ni UBOYA.
 
Kama ni demu sina tatzo nae kabisaa ingawa inakua poa akija na ID yake ya siku zote!

Issue inakua labda ni Wa kiume anataka kupata some details kukuhusu ana amua kuja kama JIKE, huu ni UBOYA.
Hapo sasa....Na mara nyingi likely ni midume. Mambo ya mtandaoni haya ni vurugu tupu...Wengine utakuja shangaa ni konki konki masta...
 
You pulled a mfalme suleman on me. Jamaa hakuwa fea kabisa. Yeye alifaudu kwa uBill Gates, hekima iliyopitiliza na wake 700 na masuria 300 halafu ndo anatuchimba mkwara hivyo. Noti fea kabisa !!!

H ahaha

Atawashika wazembe! Tutafute Hela Chief.

Sisi tunamalizana hapahapa kwanza! Ingawa si vibaya kuichukua kama Tahadhari.
 
Back
Top Bottom