Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

47694430_380432366044500_2376365869166372530_n.jpg
 
Kwa sehemu chache nilizo kaa/pita, wanaume wengi wanaokufa ni wale wenye kipato cha kati, muda mwingi anawaza kuongeza na kuimarisha kilichopo kisitoke. Mke anakuwa sio sehemu ya utafutaji wala umiliki, mwanaume kuwa na mahusiano mengi na wanawake wengine na kupelekea kuzaa nao. Mke akisha jua ndipo misuko suko inaibukia humo...
Kama ni masikini, haufi leo wala kesho, utadhani una ahadi ya kukutana na Yesu "live" siku ya ufufuo
Kama na kuelewa mkuuu

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Fekero ndio nini?
Ni ID mpya/bandia ya mtu uliyemzoea. Ukiona ID mpya inakufuata PM au inakufollow from nowhere basi likely ni fyekero. Au ID mpya inavamia uzi na kujifanya imekaramka hata kuwazidi wenyeji basi likely hilo ni fyekero...

Yote kwa yote haina madhara kwani tupo mitandaoni humu kufurahishana, kujifunza, kuburudishana; na mengineyo ila kama alivyowahi sema my man Mkwere the coolest prezidaaa evaaa akili za kuambiwa always changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom