Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

capitalpool maana ya neno fekero binafsi sijui labda kama kiranja anayo ....

Ila ni jina linalotumiwa kwa IDs 'fake', unakuta mtu ana ID tuliyoizoea halafu anakuja kimkakati kwa ID mpya.Hii ID mpya ndio inaitwa fekero.

Kama nimekosea anayejua zaidi atanisahihisha.
Uko sahihi japo sijui etimolojia yake. Pengine inatokana na neno fyekeo...
 
Ni ID mpya/bandia ya mtu uliyemzoea. Ukiona ID mpya inakufuata PM au inakufollow from nowhere basi likely ni fyekero. Au ID mpya inavamia uzi na kujifanya imekaramka hata kuwazidi wenyeji basi likely hilo ni fyekero...

Yote kwa yote haina madhara kwani tupo hapa kufurahishana, kujifunza, kuburudishana; na mengineyo ila kama alivyowahi sema my man Mkwere akili za kuambiwa always changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha hah

BAsi nadhan kuna Fyekoro moja lilikuja kuni Enjoy PM.

Ila Poa sidhan kama kuna la maana amenufaika!

Ingawa sio poa.
 
Domo wazi....
KATAVI NATIONAL PARK.
Katavi Tanzania
FB_IMG_1547813738228.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha hah

BAsi nadhan kuna Fyekoro moja lilikuja kuni Enjoy PM.

Ila Poa sidhan kama kuna la maana amenufaika!

Ingawa sio poa.
Pole.

Mtu anajilengesha weee na usipokuwa makini ukawa na uzabina zabina unaweza kujikuta unatongoza mtu yule yule hata mara nne...na ukalizwa mara nyingi tu kama ni mhongaji mzuri. Usione watu wanakimbia kuja kufungua nyuzi za ajabu ajabu kulalamika, wengine wamelizwa na mafyekero[emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi mtu akija PM na ID mpya huwa namuuliza jina lake la zamani. Huwa hawarudi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom