ππππ huyu ni wa humu huyu bro πππAisee,,[emoji23][emoji23][emoji23] lkn hakuna neno sukari hapo juu,,,inaonekana unapenda sukar eeh
πππEeh ,,hiyo hyo ya Mwanza,kwani kuna kona ya bwiru tofauti na hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamjua prof wetu umtag?Ugeni upo kwenye kucomment kwenye uzi..ila kuusoma sio wageni