Hahaha nmeacha ankoAnko unanipa tabu saaanaa...
Mungu ni mwema Jumamosi inaenda vizuri kabisa, vipi huko kwema?
Mungu atujaalie tuwe na siku njema
Ukiitwa hivyo jua unazo. Ngoja ziishe...[emoji16][emoji16][emoji16]Haka Ka Tabia ka Wadada kutuita My,,,huwa kananiboa aisee.....
Et "mambo my"
Duh sijui haka ka msemo kametokea wapi[emoji41][emoji41]
Gonga likes twende sawa kamandaBad nawakilisha
Na utajazwa kweli ohoooo [emoji16][emoji16][emoji16]Usishangae we nijazeni tu
Nipo nakula maisha tu
Simply amazing
Naona umeniunga JF jana tu. Karibu sana huku kwenye upendo [emoji16][emoji16][emoji16]Usishangae we nijazeni tu
HahahaNa utajazwa kweli ohoooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama kawaidaGonga likes twende sawa kamanda
Kasema yeye ni "Fyekero"Naona umeniunga JF jana tu. Karibu sana huku kwenye upendo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nishaweka na makazi niende wapiNaona umeniunga JF jana tu. Karibu sana huku kwenye upendo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kabisa KabisaKasema yeye ni "Fyekero"
Mimi burdaniiiiNa utajazwa kweli ohoooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mitaa ya Mbeya na Dar kidogo