Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446738165_459951.jpeg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huku kwema kiongozi. Dunia hiyoooo mkuku inazidi kujivingirisha kwenye mwendo wake usio na kikomo. Nasi kama vile nzi aliyevutiwa na harufu tamu ya ulimi wa kinyonga tumenasika mumo kwa mumo tunajivingirisha nayo. Tuendelee kumtegemea Mungu bila kukoma ili mwisho wa safari hii ambayo hatukuulizwa kama tulitaka kuisafiri ukawe mwema. Dadangu mpendeka na wapwa zangu majiniazi wafikishie salamu.
Amen [emoji120][emoji120][emoji120]
Ahsante kwa upendo ulio mkuu.


Tuendelee kumtegemea Mungu kwa kila jambo maana pasi yeye hizi centrifugal na centripetal forces za kuzishikiria nafsi zetu zitatoweka na matokeo yake tutatengana na matamu ya dunia kabla ya wakati.
 
Back
Top Bottom