Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d27e5cc4-89da-4a9a-9df9-653918b83f89.jpeg
 
Jana nimekwenda sokoni...vijana wapo wanajisemesha eti wanatafuta mwanamke mwenye pesa zake....gari, nyumba, mihela....ila kaz yao eti wamridhishe huyo mwanamke kitandani.....yaaan nilijikuta nacheka....wanaume nao wamekua wadangaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pyaar kama na wewe una miliki vyote hivyo naomba nikudange... Sina gharama kubwa maana uzee umeniandama. Achana na minywele yangu ya kijivu iliyo tapakaa kila kona ya maficho ya nani hino zangu, "nikipanda sishuki" labda tuwe tume "bet"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom