ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kaguta huyu ama?
Hii picha ilikuwa kielelezo cha raha ulizo zipata matekani... Vijana wako hapa wakahangaika na matangazo wee, lakini wapi[emoji2][emoji2][emoji2]
Sifa na heshima tumrudishie Mungu.Mathayo 5:27-28.
27. Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; 28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Marijali tusemezane tu. Ni wangapi tutaiona mbingu? Jizazi helupazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huku kwema kiongozi. Dunia hiyoooo mkuku inazidi kujivingirisha kwenye mwendo wake usio na kikomo. Nasi kama vile nzi aliyevutiwa na harufu tamu ya ulimi wa kinyonga tumenasika mumo kwa mumo tunajivingirisha nayo. Tuendelee kumtegemea Mungu bila kukoma ili mwisho wa safari hii ambayo hatukuulizwa kama tulitaka kuisafiri ukawe mwema. Dadangu mpendeka na wapwa zangu majiniazi wafikishie salamu.Hii picha ilikuwa kielelezo cha raha ulizo zipata matekani... Vijana wako hapa wakahangaika na matangazo wee, lakini wapi[emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli nimeamini hata kuendesha gari kwenye barabara ya kokoto kuna raha yake... Mkuu wa utekaji anisaidie siku akiamua nitekwe basi aniletee limdada lenye mihips yake hiyooo, limsambwanda hilooo halafu lingozi jeupeeee peeee... [emoji1][emoji1][emoji1]
Haya maisha ya kufikirika haya Mungu atusamehe tu.
Habari ya majukumu kiongozi?
Mungu ni mwema yupo nasi daima.
Mamiguu...
View attachment 997337
[emoji16][emoji16][emoji16]Pyaar kama na wewe una miliki vyote hivyo naomba nikudange... Sina gharama kubwa maana uzee umeniandama. Achana na minywele yangu ya kijivu iliyo tapakaa kila kona ya maficho ya nani hino zangu, "nikipanda sishuki" labda tuwe tume "bet"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
1990, Aseee, umenikumbusha mbali kiongozi. Namuona Kolimba, Kighoma Malima, Ahmed Hassan Diria, Malecela, Jackson Makweta na wengine ambao hatunao sasaHawa jamaa wametoka mbali sana urafiki waoView attachment 997361
😀😀Twende taratibu [emoji818]
Mfaransa? Sijaelewa bro.
Kwema lakini? Najua we huna shida. Una wifey tena mpya mpya unahondomola tu kila ukijisikia. Yote maisha tu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilitengenezewa na "rafiki" wakati wa kombe la dunia [emoji16][emoji16][emoji16]😀😀
Mfaransa? Sijaelewa bro ====> Avatar
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hii picha ilikuwa kielelezo cha raha ulizo zipata matekani... Vijana wako hapa wakahangaika na matangazo wee, lakini wapi[emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli nimeamini hata kuendesha gari kwenye barabara ya kokoto kuna raha yake... Mkuu wa utekaji anisaidie siku akiamua nitekwe basi aniletee limdada lenye mihips yake hiyooo, limsambwanda hilooo halafu lingozi jeupeeee peeee... [emoji1][emoji1][emoji1]
Haya maisha ya kufikirika haya Mungu atusamehe tu.
Habari ya majukumu kiongozi?
Mungu ni mwema yupo nasi daima.