Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji wa Chelsea Alvaro Morata, 26, na Olivier Giroud, 32, Fernando Llorente, 33,wa ,Tottenham na Lucas Perez, 30, and Girona's Cristhian Stuani, 32, wa West Ham wako katika orodha ya Barcelona ya wachezaji wa ziada wanaotarajiwa kusajiliwa na klabu hiyo. (Mail)
 
Manchester United huenda wakamsajili winga wa PSV Eindhoven Steven Bergwijn huku wakiwa na lengo la kuweka dau la euro milioni 25 kumnunua kiungo huyo raia wa Ujerumani mwezi huu. (Sun)
 
Japo De Jong wa miaka 21 angelipendelea ujiunga city chini ya Pep Guardiola, PSG ndio klabu pekee ambayo iko tayari kulipa Ajax euro milioni 66. (Mirror)
 
Chelsea wanataka kumuuza mshambuliaji wao Michy Batshuayi, 25, kwa Everton kwa kima cha euro milioni 40.
 
Everton wanaweza tu kumsajili mshambuliaji huyo wa Ubelgiji kwa mkataba wa kudumu kwasababu tayari wamemsajili mlinzi wa Ufaransa Kurt Zouma, 24, kwa mkopo kutoka Chelsea. (Star)
 
Kipa wa Uhispania David de Gea, 28, anatarajiwa kutia saini mkataba mpya na Manchester United. (Mirror)
 
Wachezaji wa Chelsea Alvaro Morata, 26, na Olivier Giroud, 32, Fernando Llorente, 33,wa ,Tottenham na Lucas Perez, 30, and Girona's Cristhian Stuani, 32, wa West Ham wako katika orodha ya Barcelona ya wachezaji wa ziada wanaotarajiwa kusajiliwa na klabu hiyo. (Mail)
 
Manchester United huenda wakamsajili winga wa PSV Eindhoven Steven Bergwijn huku wakiwa na lengo la kuweka dau la euro milioni 25 kumnunua kiungo huyo raia wa Ujerumani mwezi huu. (Sun)
 
Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ubelgiji Divock Origi, 23, ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Tottenham baada ya Harry Kane, 25, kuumia. (Telegraph)
 
Tottenham wamepanga mkutano wa ngazi ya juu kujadili jinsi watakavyo kabiliana na ukosefu wa Kane uwanjani kwa miezi kadhaa.
 
Kuna uwezekano wakawasaini wachezaji wapya au kumpandisha cheo mshambuliaji Troy Parrott mwenye umri wa miaka 16. (Talksport)
 
Bayern Munich pia wanafanya mazungumzo ya kumsajili winga wa Chelsea Callum Hudson-Odoi. (Bild via Four Four Two)
 
Bayern Munich pia wanafanya mazungumzo ya kumsajili winga wa Chelsea Callum Hudson-Odoi. (Bild via Four Four Two)
 
Juhudi ya Hull City ya kumnunua mlinzi wa Cardiff Matthew Connolly, 31, zimegonga mwamba. (Hull Daily Mail)
 
Cardiff City wanakaribia kufikia mkataba wa wa kumsajili mshambuliaji wa Nantes Emiliano Sala, 28, kwa kima cha karibu uero milioni 18. (Sky Sports)
 
Chelsea wako tayari kumpatia kazi kipa wao wa zamani Petr Cech ambaye anastaafu mwisho wa msimu huu.
 
Back
Top Bottom