Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DxGNX5XXQAAaOgc.jpg
 
Pyaar kama na wewe una miliki vyote hivyo naomba nikudange... Sina gharama kubwa maana uzee umeniandama. Achana na minywele yangu ya kijivu iliyo tapakaa kila kona ya maficho ya nani hino zangu, "nikipanda sishuki" labda tuwe tume "bet"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Ukipanda hushuki? Wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante na kwako pia..
Nimepita kusafisha macho kidogo, na kuimarisha ulinzi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuimarisha ulinzi? Yaani unataka kusema Bradha yupo chini ya ulinzi?
Sijui wengine tuna mkosi gani jamani! Kweli wewe ni wa kudanga na mtu mpole hivyo? Hata kukudanganya danganya hawezi, yatakuwa maisha gani hayo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nakumbuka basi?!! Tulikuwa tunaongelea kuhusu nini mama?
Ama kweli nazeka vibaya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Utwa masiku jubha gwangu? Kyala nkota ubusiku bukwenda [emoji120][emoji120]
Miaka na izidi kwenda mbio uzeeke sana..
Hufai kabisa[emoji23][emoji23]

Tununu malafyale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuimarisha ulinzi? Yaani unataka kusema Bradha yupo chini ya ulinzi?
Sijui wengine tuna mkosi gani jamani! Kweli wewe ni wa kudanga na mtu mpole hivyo? Hata kukudanganya danganya hawezi, yatakuwa maisha gani hayo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Khaa! Wewe kweli changamoto sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anataka kuwa rais wetu 2020 inabidi awe calculated sana hasa kwa hawa wazungu. Nimeangalia midahalo yake. Yuko vizuri sana ila kidogo anahitaji polishing hasa kisaikolojia na hata strategically. Kama uko karibu naye niunganishe niwe consultant wake at large niwe nampa strategy zilizotulia kuhusu kujibu baadhi ya maswali na jinsi ya kubehave kama rais mtarajiwa. Vinginevyo I think he is ready to go in 2020 kama wenzake hawatampinga...
 
Tanzania has very shallow political journalist, wameenda kujienjoy na sio kuhoji, they are easily carried away by their interviewee than they carry him. ukianza kulia na wao wanalia, ukianza kucheka na wao wanakuchekea... funny
Hapana. Siyo shallow wala nini. Waandishi hawa hawafanyi kazi katika ombwe. Wamo ndani ya jamii na wanaakisi vyema kinachoendelea humo. Kabla ya kuwahukumu jiridhishe kwanza kuhusu hali ya kisiasa, kiuchumi na hata kitamaduni wanamofanyia kazi...na elimu yao. Na ukumbuke kuwa "Kwa Kisukuma (Paschal) Mayala ni njaa" [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom