So solution ni nini?
Asilimia 48.3 ya wanaume tanzania wamebambikiwa watoto na wake zao - JamiiForumsHali iliyomaanisha kuwa yeye sio baba ya watoto wake watatu aliyodhani amezaa na mke wake wa zamani, Kate.
"Nilifahamishwa kuwa wanaume wote wanaougua cystic fibrosis hawana uwezo wa kuzalisha,"milionea huyo aliiambia kituo cha BBC Radio 5 Live.