Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

853234938_205643.jpeg
 
Aisee hatari.. na bado wanaendelea kutengeneza silaha za vita..
Huku wakitoa humanitarian aids.. bure kabisa
Silaha za kivita ni miradi ya watu na zinaingiza mabilioni ya dola kila mwaka. Bajeti ya kijeshi ya Marekani kwa mwaka inaweza kutulisha Tanzania hata kwa miaka 100. Halafu wanaanzisha vita makusudi mbali na kwao ili wauze masilaha yao. That's why there will never be permanent peace on this planet.
 
Back
Top Bottom