Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Silaha za kivita ni miradi ya watu na zinaingiza mabilioni ya dola kila mwaka. Bajeti ya kijeshi ya Marekani kwa mwaka inaweza kutulisha Tanzania hata kwa miaka 100. Halafi wanaanzisha vita makusudi mbali na kwao ili wauze masilaha yao. That's why there will never be permanent peace on this planet.
Kabisa.. Maana hao hao wanajidai wanatoa misaada ndio wanatuangamiza
 
sbahle_mpisane_3___Bk5DtFOgRbn___.jpg
 
Back
Top Bottom