Yaruhusu magumu yapite, hatuwezi kuyatatua yote sawa mamaangu. Mambo mengine yanaisha kwa kuyaweka wazi kwa mtu wako aliye jirani, unao majirani wengi sana humu, niwe mkweli wanasaidia sana. Ongea na Pyaar, ongea na Shimba, ongea na Myoya, ongea na Yego, ongea na carba, ongea na..... Wapo wengi sana.Hahahaha eti mjukuu,jumapili mbaya sana kwangu,huu mwaka nataman uishe mapema ila ndo kwaaaanza umeanza duh
Mtoto anafanana na Baba yake huyu!
Huwa wanakataza kuondoa mawe Mwanza ..so unatakiwa ujenge hivyohivyo
Broooo...Mapenzi ya kweli kama jini wachache Tu tunayaona
Iko vizuri sana,,kama unapenda uchawi itapendeza zaidiNzuri? Ngoja nikaidownload..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe yule binti mkorofi sikuwahi kujua aiseeKalinipita utadhani hakanijui, baada ya nusu saa nakauliza uko wapi mwanangu... nimekukumbuka... Alicho nijibu nilichoka [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kama kuzaa matokeo yake ndio hivi basi sitaki tena
Broooo...
Iko vizuri sana,,kama unapenda uchawi itapendeza zaidi
Unaongelea bro yupi? Aliyekwama Mwanza ama?
Huh? kuna uchawi tupu? I thought kama vampire diaries na originals?Iko vizuri sana,,kama unapenda uchawi itapendeza zaidi