Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahhaa acha tu bro,,zile pesa zao znanipa mawazo sana,,haya maisha haya acha tu bro,,,hii january naiona kama tarehe hata haziend
Hahahhaha bro,,nakuona mzee safi sana,,komaa bhna uweke heshima ya ukoo ( Bro Shimba's voice)Bro umenichekesha kweli, eti ugumu wote chali
Si mchezo aisee ukipata unachokitaka lazima upate mawenge kiaina
He!! Wewe..
Umebadilika sana bro. I am happy for you. Kati ya watu walioteseka katika uzi huu ni wewe. Kuanzia kwa Malkia ulipambana kweli ikashindikana baadaye ukapata lakini napo ukanyang'anywa na yule mzee asiye na huruma. Nakutakia kila la heri bro na kama nilivyosema majuzi, kwenye mnuso lazima niwepo bro. Na kama yupo hapa safari hii usimzindue. We piga parabo zako za mahaba kimya kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli hii ni Dar?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Legends mpo? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1001374
Mnaliaga sababu ya mjurubeng...mkifikiria kuwa sasa mmejimilikisha ene taimu mkitaka...na mengineyo. Mkikumbuka mijibaba yote iliyowachezea huko nyuma kwa ahadi za kuwaoa na baada ya kuionjesha tu ikasepa. Kenti bilivu thati evenchuale iti izi rili hapeningi ooooh thenki yu Jizazi na michozi hiyooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Huamini amini kama finally amekubali kuoa..mna balaa nyie
Woyooooooo, ni gani ninge? Dogo la dogo 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woyoooooo
🤣🤣🤣🤣umenishinda tabiaMnaliaga sababu ya mjurubeng...mkifikiria kuwa sasa mmejimilikisha ene taimu mkitaka...na mengineyo. Mkikumbuka mijibaba yote iliyowachezea huko nyuma kwa ahadi za kuwaoa na baada ya kuionjesha tu ikasepa. Kenti bilivu thati evenchuale iti izi rili hapeningi ooooh thenki yu Jizazi na michozi hiyooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]